Freshi Barida Lyrics by Stevo Simple Boy

Stevo uko aje?
Mi niko freshi barida
Mmmmh
Eeeh, niko freshi barida

Freshi barida ni nini?
Aaah hiyo unajua ni lugha ya kiusanii
Au siyo
Stevo simple boy
Ndo maanake, Alright
Marvo on the beat

Wakenya mko aje?
Freshi Barida
Vichuna Magongingo
Freshi Barida

Nataka Kienyeji ako
Freshi Barida
Ambia Ex Wangu Niko
Freshi Barida

Niko Freshi Barida
Freshi Barida
Niko Freshi Barida
Freshi Barida

Stevo nawaambia don’t drink and drive
Kwa Nyumba don’t beat
Usichapechape wife
Love ni polepole
Usiforce Utadie

Ngoma ikibamba nipe High Five
Leo nikutulia hakuna mambo na mzinga
Mabinti wananitaka ah ah
Mimi ninaringa
Usilete hasira ju bei ishapanda
Stevo simple boy
Niko freshi barida

Katika katika ka imekubamba
Katika katika ka imekubamba
Katika katika ka imekubamba
Katika katika ka imekubamba

Wakenya mko aje?
Freshi Barida
Vichuna Magongingo
Freshi Barida

Nataka Kienyeji ako
Freshi Barida
Ambia Ex Wangu Niko
Freshi Barida

Wakenya mko aje?
Freshi Barida
Vichuna Magongingo
Freshi Barida

Nataka Kienyeji ako
Freshi Barida
Ambia Ex Wangu Niko
Freshi Barida

Hakuna Mihadarati tunalewa na Chapati
Pigia beshte yako muulize party ni saa ngapi
Nasikia mnaita ex wangu
Na nikipata pesa nitambuyia gari

Bibi ya wenyewe usimfinyie macho
Kuwa mwaminifu usipende mpango wa kando
Ju kikulacho ki nguoni mwako
Penda ule wako ako
Freshi Barida

Katika katika ka imekubamba
Katika katika ka imekubamba
Katika katika ka imekubamba
Katika katika ka imekubamba

Wakenya mko aje?
Freshi Barida
Vichuna Magongingo
Freshi Barida

Nataka Kienyeji ako
Freshi Barida
Ambia Ex Wangu Niko
Freshi Barida

Wakenya mko aje?
Freshi Barida
Vichuna Magongingo
Freshi Barida

Nataka Kienyeji ako
Freshi Barida
Ambia Ex Wangu Niko
Freshi Barida

Niko Freshi Barida
Freshi Barida
Niko Freshi Barida
Freshi Barida

Marvo nikuulize?
Uko kwa ndoa ama uko freshi barida?

Likes:
0 0
Views:
205
Article Categories:
General

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *